-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na kiumbe hai wa kwanza ni kama simba, na kiumbe hai wa pili ni kama fahali mchanga, na kiumbe hai wa tatu ana uso kama wa mwanadamu, na kiumbe hai wa nne ni kama tai arukaye.” (Ufunuo 4:7, NW)
-
-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Ni sifa gani anayoleta fahali akilini mwako? Kwa Waisraeli fahali alikuwa miliki yenye thamani kwa sababu ya nguvu zake. (Mithali 14:4; ona pia Ayubu 39:9-11, NW.) Basi, huyo fahali mchanga anawakilisha nguvu, nishati-msukumo kama inayotolewa na Yehova.—Zaburi 62:11; Isaya 40:26, NW.
-