-
Dhuluma Tatizo la Ulimwenguni PoteAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
“Ukija shuleni kesho, tutakuua.” —Mwanafunzi anayeitwa Kristen huko Kanada alipokea tisho hilo alipopigiwa simu na msichana ambaye hakutaja jina lake.a
-
-
Dhuluma Tatizo la Ulimwenguni PoteAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
Pia, vijana wanaochochewa na chuki huwadhulumu wengine kwa kuandika habari mbaya zinazotia ndani habari za kibinafsi na kuziweka kwenye Internet. Kulingana na Dakt. Wendy Craig wa Chuo Kikuu cha Queen’s huko Kanada, mbinu hiyo ya dhuluma “humdhuru sana mtoto anayedhulumiwa.”
-