-
Kwa Nini Mungu Aliwaamuru Waisraeli Wapigane Vita na Wakanaani?Mnara wa Mlinzi—2010 | Januari 1
-
-
Hata hivyo, hakuwaangamiza Wakanaani wote. Kwa nini? Kwa sababu baadhi yao walikuwa tayari kubadilika. Wale waliokuwa tayari kubadilika kama vile Rahabu na Wagibeoni, walionyeshwa rehema.—Yoshua 9:3-11, 16-27; Waebrania 11:31.
-
-
Kwa Nini Mungu Aliwaamuru Waisraeli Wapigane Vita na Wakanaani?Mnara wa Mlinzi—2010 | Januari 1
-
-
Masimulizi hayo yanatufundisha mambo mengi. Kwa mfano, Rahabu na Wagibeoni walimtegemea Mungu kwa imani, naye akawahurumia na kuwaokoa. Jambo hilo linatukumbusha kwamba yeyote ambaye kwa kweli anataka kumfurahisha Mungu, anaweza kufanya hivyo, hata awe wa malezi gani au alifanya dhambi gani wakati uliopita.—Matendo 17:30.
-