-
Ugarit—Jiji la Kale Lililokuwa Kwenye Kitovu cha Ibada ya BaaliMnara wa Mlinzi—2003 | Julai 15
-
-
b Ijapokuwa kuna maoni yanayotofautiana, wataalamu fulani wanatambua hekalu la Dagani kuwa ndilo hekalu la mungu Eli. Roland de Vaux, msomi wa Biblia Mfaransa katika Shule ya Yerusalemu ya Mafunzo ya Biblia, anasema kwamba Dagani, yaani Dagoni wa kitabu cha Waamuzi 16:23 na 1 Samweli 5:1-5 ni jina la kibinafsi la mungu Eli. Kitabu The Encyclopedia of Religion kinatoa maelezo haya: “Dagani alikuwa akishirikishwa au kufananishwa na [Eli].”
-
-
Ugarit—Jiji la Kale Lililokuwa Kwenye Kitovu cha Ibada ya BaaliMnara wa Mlinzi—2003 | Julai 15
-
-
Eli, anayeitwa baba wa miungu na wa wanadamu, ndiye aliyekuwa mungu mkuu kuliko wote.
-
-
Ugarit—Jiji la Kale Lililokuwa Kwenye Kitovu cha Ibada ya BaaliMnara wa Mlinzi—2003 | Julai 15
-
-
Mungu Eli ni mwanamume mzee mwenye ndevu nyeupe na mwenye hekima, aliye mbali sana na wanadamu.
-
-
Ugarit—Jiji la Kale Lililokuwa Kwenye Kitovu cha Ibada ya BaaliMnara wa Mlinzi—2003 | Julai 15
-
-
Baali anawaangamiza wana wa mke wa mungu Eli, Athariti (Ashera), na anachukua tena utawala.
-