-
“Ananiongoza Katika Mapito ya Uadilifu”Mnara wa Mlinzi—2008 | Machi 1
-
-
Mnamo Mei 22, 1945 (22/5/1945), serikali ya Kanada iliondoa marufuku juu ya kazi ya Mashahidi wa Yehova.a Kwa kweli, sikutambua kwamba tulikuwa tumepigwa marufuku mpaka niliposikia tangazo hilo.
-
-
“Ananiongoza Katika Mapito ya Uadilifu”Mnara wa Mlinzi—2008 | Machi 1
-
-
a Kwa sababu ya msimamo wa Mashahidi wa Yehova wa kutounga mkono upande wowote katika siasa, serikali ilipiga marufuku tengenezo lao Julai 4, 1940 (4/7/1940).
-