-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
Mwaka huo pia, Kanisa Kuu la Peter-Paul lilijengwa ndani ya ngome yenye jina hilo. Mnara wa kanisa hilo unaonekana waziwazi katika jiji hilo.
-
-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
Mfano mmoja ni wa Kanisa Kuu la Kazan lenye umbo la nusu mviringo na nguzo nyingi upande wa mbele. Umbo lake lenye kuvutia limefanya barabara ya Nevsky Prospekt ionwe kuwa mojawapo ya barabara za fahari zaidi ulimwenguni. Baadaye ujenzi wa Kanisa Kuu la St. Isaac ulianza. Karibu nguzo 24,000 zilichimbiwa chini katika eneo lenye majimaji ili kuliimarisha jengo, na kilogramu 100 za dhahabu safi zilitumika kufunika paa lake kubwa.
-