Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mungu Huonaje Ibada ya Jumuiya ya Wakristo?
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Julai 1
    • Kwa sababu ya “kuenea kwa uasherati” (NW), Biblia husema kwamba “ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.” (1 Wakorintho 7:2, 9) Licha ya shauri hili lenye hekima, wengi miongoni mwa makasisi wanatakwa kubaki waseja, yaani, bila kuoa. “Nadhiri ya useja haivunjwi,” aeleza Nino Lo Bello katika kitabu chake The Vatican Papers, “kasisi, mtawa wa kiume, au mtawa wa kike akishiriki katika mahusiano ya kingono. . . . Msamaha kwa ajili ya mahusiano ya kingono waweza kupatikana kwa kuungama kwa haki katika chumba cha kuungamia, ilhali ndoa ya kasisi yeyote haitatambuliwa na Kanisa hata kidogo.” Je, fundisho hilo limetokeza matunda mema au mabaya?—Mathayo 7:15-19.

  • Mungu Huonaje Ibada ya Jumuiya ya Wakristo?
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Julai 1
    • Si ajabu kwamba Biblia hutaarifu kwamba ‘kuwazuia watu wasioe’ ni ‘fundisho la mashetani.’ (1 Timotheo 4:1-3)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki