-
Kuchunguza Hazina ya Chester BeattyMnara wa Mlinzi—2004 | Septemba 15
-
-
Hati moja ya ngozi iliyoandikwa zamani katika karne ya nne na Ephraem, msomi Msiria, ni kati ya vitu vya kipekee ambavyo vimeonyeshwa kwenye Maktaba ya Chester Beatty. Ephraem ananukuu sana kitabu cha karne ya pili kiitwacho Diatessaron. Tatian, ambaye aliandika kitabu hicho, aliunganisha masimulizi ya Injili zote nne kuhusu maisha ya Yesu Kristo kuwa kitabu kimoja. Waandishi wa baadaye walirejelea kitabu Diatessaron, lakini sasa nakala za kitabu hicho hazipatikani tena. Wasomi fulani wa karne ya 19 hata walitilia shaka kama kulikuwa na kitabu kama hicho. Hata hivyo, mnamo 1956 Beatty alipata ufafanuzi wa Ephraem kuhusu kitabu hicho cha Tatian, Diatessaron. Kupatikana kwa ufafanuzi huo kulikuwa uthibitisho zaidi kwamba Biblia ni ya kweli kabisa.
-
-
Kuchunguza Hazina ya Chester BeattyMnara wa Mlinzi—2004 | Septemba 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 31]
Ufafanuzi wa Ephraem kuhusu kitabu “Diatessaron” cha Titian unatoa uthibitisho zaidi kwamba Biblia ni ya kweli
-