-
Mababa wa Kimitume—Je, Kweli Walifuata Mafundisho ya Mitume?Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
-
-
Pia, katika kipindi hicho waandikaji wengine wasiojulikana waliandika vitabu vilivyoitwa The Didache, Barua ya Barnaba (Epistle of Barnabas),
-
-
Mababa wa Kimitume—Je, Kweli Walifuata Mafundisho ya Mitume?Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
-
-
Mwandikaji wa kitabu kilichoitwa Barua ya Barnaba alikuwa pia mmoja wa wale waliodharau kweli ya Maandiko. Alifafanua Sheria ya Musa kana kwamba ilikuwa lugha ya mfano tu. Alidai kwamba wanyama safi, wale waliocheua na wenye kwato zilizopasuka (zenye mwanya) waliwakilisha watu wanaotafakari au kucheua akilini Neno la Mungu. Mwandikaji huyo alisema kwamba ukwato uliopasuka ni mfano wa kwamba mtu mwadilifu “anatembea katika ulimwengu huu” na wakati uleule anatazamia maisha ya mbinguni. Maelezo kama hayo hayategemei Maandiko.—Mambo ya Walawi 11:1-3.
-