Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mababa wa Kimitume—Je, Kweli Walifuata Mafundisho ya Mitume?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
    • Polycarp alikuwa tayari kufia imani badala ya kuikana imani yake ya Kikristo. Inaripotiwa kwamba alifundishwa na mitume na watu wengine waliomjua Yesu. Alinukuu Biblia, na inaonekana kwamba alijitahidi sana kuishi kupatana na kanuni za Kikristo.

      Hata hivyo, watu fulani walijitoa sana kwa Polycarp hivi kwamba wakamwabudu kama sanamu. Kitabu kimoja (Martyrdom of Polycarp) kinasema kwamba baada ya kifo chake, “watu waaminifu” walitamani sana kuchukua mwili wake. Waliona mifupa yake kuwa “yenye thamani kuliko vito vya pekee zaidi, na safi zaidi kuliko dhahabu.”

  • Mababa wa Kimitume—Je, Kweli Walifuata Mafundisho ya Mitume?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
    • [Picha katika ukurasa wa 28]

      Polycarp alikuwa tayari kufia imani

      [Hisani]

      The Granger Collection, New York

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki