Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sikukuu
    Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
    • The Encyclopedia Americana husema hivi: “Sababu ya kuchagua Desemba 25 kuwa siku ya Krismasi haieleweki waziwazi, lakini inaaminiwa kwamba siku hiyo ilichaguliwa ili ilingane na sherehe za kipagani zilizotukia karibu na wakati ambapo jua huwa mbali zaidi na ikweta, wakati wa baridi kali, siku zinapoanza kurefuka, ili kusherehekea ‘kuzaliwa upya kwa jua.’ . . . Satanalia ya Kiroma (sikukuu ya zohali, mungu wa kilimo, na ya nguvu mpya za jua), pia iliadhimishwa wakati huo, na inaonekana kwamba desturi fulani za Krismasi zilianzia katika mwadhimisho huo wa kale wa kipagani.”—(1977), Buku la 6, uku. 666.

  • Sikukuu
    Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
    • The Encyclopedia Americana inaeleza hivi: “Wakati wa Satanalia . . . kulikuwa na karamu, na watu walipeana zawadi.” (1977, Buku la 24, uku. 299) Katika visa vingi hilo lawakilisha roho ya Krismasi—kupeana zawadi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki