-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya NyakatiMnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 1
-
-
Neno la Yehova Liko Hai
Mambo Makuu Katika Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya Nyakati
MIAKA 77 imepita tangu Wayahudi warudi katika nchi yao kutoka utekwani Babiloni. Hekalu lililojengwa na Gavana Zerubabeli limekuwapo kwa miaka 55 sasa. Sababu kuu iliyowafanya Wayahudi warudi katika nchi yao ni kurudishwa kwa ibada ya kweli huko Yerusalemu. Hata hivyo, watu hawana bidii kwa ajili ya ibada ya Yehova. Wanahitaji kutiwa moyo, nacho Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya Nyakati kinatoa msaada huo.
-
-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya NyakatiMnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 1
-
-
Inaaminika kwamba kuhani Ezra ndiye aliyeandika kitabu hicho mwaka wa 460 K.W.K.
-