-
Ona Jina la Mungu Nchini DenmarkAmkeni!—2009 | Novemba
-
-
Kwa mfano, katikati mwa jiji hilo kuna Kanisa la Dockyard (Holmens Kirke) ambalo lina lango lililoandikwa jina la Mungu kwa herufi kubwa za dhahabu. Pia, jina hilo limeandikwa ndani ya lango hilo kwenye bamba la ukumbusho la mwaka wa 1661.
-
-
Ona Jina la Mungu Nchini DenmarkAmkeni!—2009 | Novemba
-
-
Jina la Mungu lilipozidi kujulikana, lilianza kuonekana katika maeneo ya umma. Kwa mfano, mnamo 1624, baada ya Hans Paulsen Resen kuwekwa rasmi kuwa askofu, aliamuru bamba liwekwe ndani ya Kanisa la Bronshoj. Juu ya bamba hilo, aliandika kwa dhahabu jina la Mungu katika Kidenmark, Jehova.
-
-
Ona Jina la Mungu Nchini DenmarkAmkeni!—2009 | Novemba
-
-
[Picha katika ukurasa wa 24, 25]
Lango la Kanisa la Dockyard
-