Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Majengo ya Kale Yenye Jina la Mungu
    Amkeni!—2004 | Januari 22
    • Mji wa Slovenj Gradec unatajwa kwa mara ya kwanza katika maandishi ya karne ya kumi. Hospitali ya kanisa ya Kigothi ilijengwa huko mwaka wa 1419. Ukuta wote wa ndani umepambwa kwa picha ya karne ya 15 inayoonyesha mandhari 27 za Biblia. Picha ya kwanza ni ya ufufuo wa Lazaro na ya mwisho ni ya Pentekoste. Katika sehemu nyingine ya jengo hilo, jina la Mungu limeandikwa kwa maandishi meusi ya Kiebrania kwenye rangi ya dhahabu.

      Mji wa Radovljica uko katika eneo la kaskazini-magharibi la nchi. Katika karne ya 15, eneo hilo dogo lilizungukwa na kuta na handaki, na lilikuwa na kasri, kanisa, na majengo mengine. Bamba la dhahabu katika madhabahu moja ya kanisa lina Tetragramatoni.

  • Majengo ya Kale Yenye Jina la Mungu
    Amkeni!—2004 | Januari 22
    • [Picha katika ukurasa wa 31]

      Ndani ya kanisa la Sveti Duh huko Slovenj Gradec

      [Hisani]

      Slovenj Gradec - Cerkev Sv. Duha, Slovenija

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki