-
Je, Misherehekeo ya Mavuno Humpendeza Mungu?Mnara wa Mlinzi—1997 | Septemba 15
-
-
Viunganishi vya Kipagani
Akiwa amevurugwa na hali ya kilimwengu ya karamu ya kidesturi ya wakati wa mavuno na ulevi ambao hushirikishwa na hiyo sherehe, kasisi Mwanglikana katika Cornwall, Uingereza, aliamua katika 1843 kurudisha desturi ya mavuno ya enzi za kati. Alichukua nafaka ya kwanza kuvunwa na kutokana nayo akatengeneza mkate kwa ajili ya sherehe ya ushirika katika kanisa lake. Kwa kufanya hivyo, aliendeleza msherehekeo wa Lammas—sherehe ya “Kikristo” ambayo watu fulani husema kwamba ilitokana na ibada ya kale ya mungu wa Waselti, Lugh.a Hivyo, msherehekeo wa kisasa wa mavuno wa Kianglikana una asili ya kipagani.
-
-
Je, Misherehekeo ya Mavuno Humpendeza Mungu?Mnara wa Mlinzi—1997 | Septemba 15
-
-
a Neno “Lammas” latokana na neno la Kiingereza cha Kale linalomaanisha “misa ya mkate.”
-