Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Januari 1
    • ▪ Israeli inapata mvua kati ya mwezi wa Oktoba (Mwezi wa 10) na Aprili (Mwezi wa 4), na nyakati nyingine maji ya mvua hutiririka kwa kasi kwenye mabonde ya mito. Hata hivyo, wakati wa kiangazi, mingi ya “mito” hiyo hukauka, na huenda mvua isinyeshe kwa miezi mingi. Kwa hiyo, watu wa nyakati za Biblia walitumia mbinu gani kuhakikisha kuwa wanapata maji ya kutosha?

      Walitatua tatizo hilo kwa kuchimba mitaro kwenye milima na kuelekeza maji ya mvua ya majira ya baridi kali kwenye mashimo ya chini ya ardhi, au matangi ya maji. Paa zilijengwa zikiwa zimeinama vya kutosha ili kuelekeza maji ya mvua kwenye matangi hayo. Familia nyingi zilikuwa na tangi la kuhifadhia maji ambayo wangeweza kuyatumia kukata kiu.—2 Wafalme 18:31; Yeremia 6:7.

  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Januari 1
    • [Picha katika ukurasa wa 19]

      Kisima, Horvot Mezada, Israeli

      [Hisani]

      © Masada National Park, Israel Nature and Parks Authority

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki