-
Jinsi Unavyoweza Kuishi MilimaniAmkeni!—2004 | Machi 8
-
-
Sehemu nyingi za milimani zina maendeleo ya kiuchumi. Mamilioni ya watu wa Mexico City huishi kwenye mwinuko wa zaidi ya meta 2,000 juu ya usawa wa bahari. Denver, Colorado, nchini Marekani; Nairobi, Kenya; na Johannesburg, Afrika Kusini, ni majiji ambayo yako katika mwinuko wa zaidi ya meta 1,500. Mamilioni ya watu wa Himalaya wanaishi kwenye mwinuko wa zaidi ya meta 3,000. Katika milima ya Andes, majiji makubwa kadhaa yako kwenye mwinuko wa meta 3,300 juu ya usawa wa bahari, na watu hufanya kazi katika migodi iliyo kwenye mwinuko wa meta 6,000.
-
-
Jinsi Unavyoweza Kuishi MilimaniAmkeni!—2004 | Machi 8
-
-
[Mchoro/Picha katika ukurasa wa 12, 13]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
Baadhi ya Milima na Majiji ya Ulimwengu Yaliyo Kwenye Mwinuko
—9,000 meters
Mount Everest, Nepal na China 8,850 meta
—7,500 meters
—6,000 meters
Mount Kilimanjaro, Tanzania
5,895 meta
Aucanquilcha, Chile
5,346 meta
Mont Blanc, France
4,807 meta
—4,500 meters
Potosí, Bolivia
4,180 meta
Puno, Peru
3,826 meta
Mount Fuji, Japan
3,776 meta
La Paz, Bolivia
3,625 meta
—3,000 meters
Trongsa Dzong, Bhutan
2,398 meta
Mexico City, Mexico
2,239 meta
Mount Washington,
New Hampshire, United States
1,917 meta
Nairobi, Kenya
1,675 meta
Denver, Colorado, United States
1,609 meta
—1,500 meters
—Usawa wa bahari—
-