-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na jiji kubwa likatengana kuwa sehemu tatu, na majiji ya mataifa yakaanguka; na Babuloni Mkubwa akakumbukwa katika mwono wa Mungu, ili kumpa yeye kikombe cha divai ya kasirani ya hasira-kisasi yake.
-
-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Mtikiso huu wenye kulipua kama bomu utabomoa “jiji kubwa,” Babuloni Mkubwa, hivi kwamba hutengana kuwa “sehemu tatu”—ufananisho wa kuanguka kwalo ndani ya uangamivu usiokomboleka.
-