-
Sahihi KisayansiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Ikiwa wangegusa mnyama au mwanadamu aliyekufa, Waisraeli walipaswa kujisafisha kwa maji. (Mambo ya Walawi 11:27, 28; Hesabu 19:14-16)
-
-
Sahihi KisayansiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Miaka isiyozidi 200 iliyopita, madaktari waligundua kwamba waliwaambukiza wagonjwa wengi wakati walipowagusa kabla ya kunawa mikono baada ya kugusa maiti. CDC inasema kwamba kunawa mikono ndiyo “njia pekee iliyo na matokeo zaidi katika kuzuia kusambaa kwa magonjwa.” Vipi kuhusu kuwatenga watu walio na ukoma au magonjwa mengine?
-
-
Sahihi KisayansiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
“Ni jambo lenye kuvutia kusoma mambo yanayohusu usafi yaliyofuatwa wakati wa Sheria ya Musa.”—KITABU MANUAL OF TROPICAL MEDICINE, CHA DAKT. ALDO CASTELLANI NA DAKT. ALBERT J. CHALMERS
-