Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Usafi—Kwa Nini Ni Muhimu?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Desemba 1
    • Nawa mikono yako kwa sabuni na maji kabla ya kula na baada ya kutumia choo. Kipande cha sabuni si bei ghali, hivyo hata maskini wanaweza kununua. Fua nguo zako kwa ukawaida, tumia maji moto ikiwa una matatizo ya ngozi au magonjwa mengine.”

  • Usafi—Kwa Nini Ni Muhimu?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Desemba 1
    • Akiongezea jambo moja muhimu kuhusu watoto, alionya hivi: “Jihadharini msiogee katika mitaro katika ujirani wenu. Vijito hivyo vina viini hatari. Oga usiku kabla ya kwenda kulala, piga mswaki vizuri usiku, na ujifunike kwa neti ya mbu unapolala.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki