Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mababa wa Kimitume—Je, Kweli Walifuata Mafundisho ya Mitume?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
    • Kwa mfano, Clement wa Roma anataja kitabu cha Apokrifa cha Wisdom na kitabu cha Judith.

  • Mababa wa Kimitume—Je, Kweli Walifuata Mafundisho ya Mitume?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
    • Na kitabu kimoja kinasema hivi kumhusu Clement wa Roma: “Inaonekana kwamba Clement anamjua Kristo, si kupitia Injili, bali kupitia vitabu ambavyo si sehemu ya maandiko yaliyokubaliwa.”

      Mafundisho ya Uwongo Yalienea Sana

      Wanaume hao walipotumia hadithi za uwongo, mafumbo, na falsafa kueleza imani ya Kikristo, walifungua njia ya kueneza mafundisho ya uwongo. Kwa mfano, Clement alitaja hadithi ya uwongo ya phoenix kuwa uthibitisho wa ufufuo. Phoenix ni ndege anayetajwa katika hadithi za kale ambaye inasemekana kwamba aliinuka kutoka katika majivu yake mwenyewe, na alihusianishwa na ibada ya jua katika hadithi za Wamisri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki