Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wafalme Washindani Wakaribia Mwisho Wao
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • 3, 4. Ni nani “wafanyao maovu juu ya hilo agano,” nao wamekuwa na uhusiano gani na mfalme wa kaskazini?

      3 “Na wao wafanyao maovu juu ya hilo agano,” akasema malaika wa Mungu, mfalme wa kaskazini “atawapotosha kwa maneno ya kujipendekeza.”

  • Wafalme Washindani Wakaribia Mwisho Wao
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • 4 Wale “wafanyao maovu juu ya hilo agano” waweza tu kuwa viongozi wa Jumuiya ya Wakristo, wanaodai kuwa Wakristo lakini kulingana na matendo yao wanalichafua jina lenyewe la Ukristo. Katika kitabu chake Religion in the Soviet Union, Walter Kolarz asema hivi: “[Wakati wa vita ya ulimwengu ya pili] Serikali ya Sovieti ilijitahidi kuungwa mkono kihalisi na kiadili na Makanisa ili kulinda nchi yao.” Baada ya vita hiyo viongozi wa kanisa walijaribu kudumisha urafiki, ijapokuwa serikali ya mfalme wa kaskazini ilikuwa na sera za kutoamini kuwapo kwa Mungu. Kwa hiyo, Jumuiya ya Wakristo ikawa sehemu ya ulimwengu huu kuliko wakati mwingine wowote—uasi imani wenye kuchukiza machoni pa Yehova.—Yohana 17:16; Yakobo 4:4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki