-
Uadilifu Wachipuka Katika SayuniUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hivyo, Isaya anatimiza utume wake wa kiunabii, yaani, “kuwaagizia hao waliao katika Sayuni, wapewe taji ya maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho nzito;
-
-
Uadilifu Wachipuka Katika SayuniUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
11. Ni nani katika karne ya kwanza waliokuwa na sababu nzuri ya kumsifu Yehova kuhusu tendo lake kubwa?
11 Katika karne ya kwanza, hata Wayahudi waliokubali kufunguliwa watoke katika kifungo cha dini ya uwongo walimsifu Mungu kwa tendo kubwa alilowafanyia. Badala ya roho yao iliyoshuka, wakawa na “vazi la sifa” walipokombolewa kutoka katika taifa lililokufa kiroho. Badiliko hilo liliwapata kwanza wanafunzi wa Yesu walipoacha kuombolezea kifo chake wakaanza kushangilia wakati Bwana wao aliyefufuliwa alipowatia mafuta kwa roho takatifu. Upesi baada ya hapo, badiliko kama hilo lilipata kila mmoja wa watu watiifu 3,000 walioitikia na kubatizwa kwenye Pentekoste ya 33 W.K. baada ya kuhubiriwa na Wakristo hao waliotiwa mafuta karibuni. (Matendo 2:41)
-