Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Februari 1
    • Swali lilipozushwa kuhusu kulipa kodi hiyo, Yesu alimwagiza Petro hivi: “Nenda baharini, utupe ndoano, na kuchukua samaki wa kwanza atakayetokea, ukifungue kinywa chake, nawe utapata sarafu ya stateri. Ichukue na uwape kwa ajili yangu na kwa ajili yako.”—Mathayo 17:24-27.

      Wasomi wengi wanaamini kwamba kwa kweli sarafu ya stateri inayotajwa hapo ilikuwa tetradrakma. Sarafu hiyo ilikuwa na thamani ya drakma nne, au ililingana na malipo ya kodi ya hekalu ya watu wawili. Tetradrakma hiyo ilikuwa ya kawaida sana na ilipatikana kwa urahisi kuliko didrakma. Hivyo, kamusi fulani (The New Bible Dictionary) inasema hivi: “Inaelekea kwamba kwa kawaida Wayahudi wawili-wawili waliungana na kulipa kodi ya Hekalu pamoja.”

  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Februari 1
    • [Picha katika ukurasa wa 15]

      Picha kubwa ya tetradrakma

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki