Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Miaka minne baadaye, Mashahidi wawili ambao hawakuwa wamekutana tena waliungana ili kuhubiri habari njema katika Kolombia. Baada ya mwaka wenye matokeo huko, Hilma Sjoberg alilazimika kurudi Marekani. Lakini Kathe Palm aliabiri kwa meli hadi Chile, akitumia zile siku 17 baharini kutolea ushahidi wafanyakazi na abiria pia.

  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Wakati wa mwaka 1932, jitihada ya pekee ilifanywa kueneza ujumbe wa Ufalme katika nchi za Amerika ya Latini ambako kazi kidogo sana ya kuhubiri ilikuwa imefanywa. Katika mwaka huo kile kijitabu The Kingdom, the Hope of the World kiligawanywa kwa njia yenye kutokeza sana. Kijitabu hicho kilikuwa na hotuba iliyokuwa tayari imesikiwa katika matangazo ya redio ya kimataifa. Sasa nakala zipatazo 40,000 za hotuba hiyo kwa namna ya chapa ziligawanywa katika Chile, nakala 25,000 katika Bolivia, nakala 25,000 katika Peru, nakala 15,000 katika Ekuado, nakala 20,000 katika Kolombia,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki