-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Kijana mwingine aliyepokea baadhi ya fasihi alikuwa Andreas Øiseth. Mara aliposadikishwa kwamba alikuwa amepata kweli, aliondoka kwenye shamba la familia akaanza kazi ya kolpota. Alifanya kazi kwa utaratibu kuelekea kaskazini, kisha kusini kuelekea zile ghuba ndogo, bila kupita kijiji chochote. Wakati wa kipupwe alichukua ugavi wake—chakula, mavazi, na fasihi—katika kigari cha kujisukuma kwa mguu juu ya theluji, nao watu wenye ukaribishaji-wageni walimwandalia mahali pa kulala. Katika safari ya miaka minane, alieneza habari njema katika karibu nchi nzima.
-
-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Ramani/Picha katika ukurasa wa 408]
Aliposadiki kwamba alikuwa amepata kweli, Andreas Øiseth aligawanya kwa bidii fasihi za Biblia katika karibu kila sehemu ya Norway
[Ramani]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
NORWAY
Mzingo Aktiki
-