Matangazo
◼ Toleo la fasihi la Februari: Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu! Machi: Siri ya Kupata Furaha ya Familia. Aprili na Mei: Maandikisho ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mahali ambapo andikisho halichukuliwi toa magazeti yote mawili kwa mchango wa kawaida. Broshua mpya, Mungu Anataka Tufanye Nini?, yaweza kutumiwa.
◼ Mwandishi na mwangalizi wa utumishi wapaswa kupitia utendaji wa mapainia wote wa kawaida. Ikiwa kuna wowote wanaopata ugumu wa kutimiza takwa la saa, wazee wapaswa kupanga ili usaidizi utolewe. Ili kupata madokezo, pitia barua za Sosaiti (S-201-SW) ya Oktoba 1, 1993, na Oktoba 1, 1992. Pia ona mafungu 12-20 ya Huduma ya Ufalme Yetu ya Agosti 1986.
◼ Watangazaji wanaotaka kutumikia wakiwa mapainia-wasaidizi katika Machi, Aprili, na Mei wapaswa kufanya mipango yao sasa na kutoa ombi lao mapema. Kufanya hivi kutasaidia wazee wafanye mipango inayohitajiwa ya utumishi wa shambani na kuwa na magazeti ya kutosha na fasihi nyingine iliyopo. Majina ya wale wanaokubaliwa kuwa mapainia-wasaidizi yanapaswa kutangazwa kwenye kutaniko.
◼ Vichapo Vipya Vinavyopatikana:
Furahia Milele Maisha Duniani! —Kinueri
Je! Kweli Mungu Anatujali?—Kitigrinya
Kuyachunguza Maandiko Kila Siku—1997—Kiamhara
Mashahidi wa Yehova—Wanafanya Mapenzi ya Mungu kwa Umoja Ulimwenguni Pote—Kitigrinya
Mungu Anataka Tufanye Nini?—Kiacholi, Kiamhara, Kifaransa, Kigujarati, Kiingereza, Kikamba, Kikuyu, Kiluganda, Kipunjabi, Kiswahili, Kizande
Mwimbieni Yehova Sifa (Nyimbo 100, maneno pekee)—Kiamhara
Serikali Itakayoleta Paradiso—Kizande
Siri ya Kupata Furaha ya Familia—Kiarabu, Kichina, Kichina (Sahili), Kifaransa, Kigujarati, Kihindi, Kiingereza, Kipunjabi, Kiswahili
Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo—Kiswahili
Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele—Kihindi, Kinyarwanda, Kipunjabi, Kiurdu
Lasting Peace and Happiness—How Can You Find Them?—Kichina (Sahili)
◼ Kaseti Mpya Zinazopatikana:
Mungu Anataka Tufanye Nini? (kaseti moja)—Kiingereza
◼ Compact Discs Mpya Inayopatikana:
Watchtower Library—1995 Edition—Kiingereza
◼ Vidiokaseti Mpya Zinazopatikana:
Mungu Anataka Tufanye Nini?—Lugha ya Ishara ya Kimarekani
Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele (Buku la 4)—Lugha ya Ishara ya Kimarekani
Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele (Buku la 5)—Lugha ya Ishara ya Kimarekani
To the Ends of the Earth—Kiarabu
United by Divine Teaching—Kiarabu
◼ Vichapo Vipya vya Braille Vinavyopatikana:
Kupata Faida Zote za Ujana Wako (mabuku manne)—Kiingereza gredi ya pili
Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele (mabuku mawili)—Kiingereza gredi ya pili
Good News—To Make You Happy—Kiingereza gredi ya pili
Life Does Have a Purpose (mabuku manne)—Kiingereza gredi ya pili