-
Upunjaji Katika Intaneti—Je, Umo Hatarini?Amkeni!—2012 | Januari
-
-
Nyakati nyingine, programu inayoitwa Trojan horse, au Trojan, inaweza kuwafungulia walaghai mlango wa kuingia kwenye mfumo wako wa kompyuta na hivyo kuwawezesha wapate habari zako za kibinafsi.
-
-
Upunjaji Katika Intaneti—Je, Umo Hatarini?Amkeni!—2012 | Januari
-
-
Trojan horse: Programu iliyoundwa ili kuvunja ulinzi wa mfumo wa kompyuta huku ikifanya kazi isiyoonekana kuwa na madhara
-