Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Uko Tayari kwa Ajili ya Karamu ya Kiroho?
    Huduma ya Ufalme—2009 | Juni
    • 7. Kwa nini tunapaswa kufikiria kwa makini nguo tutakazovaa?

      7 Mavazi: Kumbuka kwamba Yehova aliwaamuru Waisraeli watengeneze upindo wenye nyuzinyuzi kwenye nguo zao, na kuweka uzi wa bluu juu ya upindo huo. (Hes. 15:37-41) Upindo huo uliwakumbusha kwamba walikuwa watu walioteuliwa kumwabudu Yehova. Leo, mavazi yetu yenye heshima na ya kiasi ambayo tunavaa makusanyikoni huonyesha kwamba sisi ni tofauti na watu wa ulimwengu. Yanatoa ushahidi mzuri kwa wanatuona hata tunapokula kwenye mikahawa baada ya programu. Kwa hiyo, fikiria kwa makini nguo utakazovaa.

  • Je, Uko Tayari kwa Ajili ya Karamu ya Kiroho?
    Huduma ya Ufalme—2009 | Juni
    • ◼ Viatu: Kila mwaka watu kadhaa hujeruhiwa kwa sababu ya viatu. Kwa hiyo, ni vizuri kuvaa viatu vya kawaida, vinavyokutoshea vizuri na vinavyokuwezesha kutembea kwenye ngazi, viunzi vya chuma, na maeneo mengine, bila kujikwaa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki