-
Wafalme Washindani Waingia Katika Karne ya 20Sikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
16. Kulingana na unabii, mfalme wa kaskazini alitendaje baada ya kushindwa?
16 “Naye [mfalme wa kaskazini] atarudi na kulighadhibikia hilo agano takatifu; na kutenda kadiri apendavyo; naam, atarudi, na kuwasikiliza walioacha hilo agano takatifu.” (Danieli 11:30b) Ndivyo alivyotabiri malaika, na ndivyo ilivyotimia.
-
-
Wafalme Washindani Waingia Katika Karne ya 20Sikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
18. Hitler ‘alitendaje kadiri alivyopenda’?
18 Punde baada ya kupata mamlaka, Hitler alianzisha shambulio kali dhidi ya “agano takatifu,” lililowakilishwa na ndugu watiwa-mafuta wa Yesu Kristo. (Mathayo 25:40) Katika hilo alitenda “kadiri apendavyo” dhidi ya Wakristo hao wenye uaminifu-mshikamanifu, akiwanyanyasa wengi wao kikatili.
-