Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Amekuwa Jabali Langu
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 1
    • Mjini Ierápetra, kusini-mashariki mwa Krete, nilimhubiria muuza-nguo aliyeitwa Minos Kokkinakis. Licha ya jitihada zangu nyingi za kuanzisha funzo la Biblia pamoja naye, hakuwa na wakati kwa sababu ya maisha yake yenye shughuli nyingi. Hata hivyo, hatimaye alipoamua kuchukua funzo lake la Biblia kwa uzito, alifanya mabadiliko makubwa maishani. Alipata pia kuwa mhubiri mwenye bidii zaidi wa habari njema.

  • Yehova Amekuwa Jabali Langu
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Septemba 1
    • Ebu wazia jinsi nilivyoshangaa pale nilipojua, baada ya miezi sita, kwamba Shahidi mwingine alikuwa amehamishwa kuja kisiwani humo! Yeye alikuwa nani? Minos Kokkinakis, niliyejifunza naye Biblia huko Krete. Nilifurahi kama nini kuwa na mwenzi wa kiroho! Baadaye, nilipata pendeleo la kumbatiza katika maji ya Amorgos.b

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki