Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Miaka Zaidi ya 50 ya ‘Kuvuka’
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Novemba 1
    • Kukabili kwangu Mashahidi wa Yehova kwa mara ya kwanza katika miaka ya mapema ya 1930 kungali dhahiri katika kumbukumbu langu. Emmanuel Lionoudakis alikuwa amekuwa akihubiri katika miji yote na vijiji vyote vya Krete. Nilikubali vijitabu kadhaa kutoka kwake, lakini kile kijitabu chenye kichwa Where Are the Dead? ndicho kilichopata uangalifu wangu. Nilihofu kifo vibaya hivi kwamba hata nisingaliingia chumba alimofia baba yangu. Nilipokuwa nikisoma kijitabu hicho tena na tena nikajifunza yale ambayo Biblia hufundisha juu ya hali ya wafu, nilihisi hofu yangu ya kishirikina ikipotea.

  • Miaka Zaidi ya 50 ya ‘Kuvuka’
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Novemba 1
    • Ubatizo wangu ni tukio ambalo sitasahau kamwe. Usiku mmoja mwaka wa 1938, wawili wa wanafunzi wangu wa Biblia nami tulichukuliwa na Ndugu Lionoudakis katika giza tititi hadi ufuoni. Baada ya kusali, akatutumbukiza majini.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki