-
Ufalme wa Mungu Wazaliwa!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na ishara nyingine ikaonekana katika mbingu, na, tazama! drakoni mkubwa wa rangi-moto, mwenye vichwa saba na pembe kumi na juu ya vichwa vyake mataji saba;
-
-
Ufalme wa Mungu Wazaliwa!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Kwa kuwa Shetani ana taji juu ya kila kichwa—vyote saba—sisi tunaweza kuwa na hakika kwamba zile serikali kubwa za ulimwengu zinazowakilishwa katika hayawani-mwitu huyo zimekuwa chini ya utawala wake. (Yohana 16:11)
-