-
Ole wa Kwanza—NzigeUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na mifanano ya nzige ilishabihi farasi walio tayari kwa ajili ya pigano; na juu ya vichwa vyao palikuwa na kilichoonekana kuwa mataji kama dhahabu, na nyuso zao zilikuwa kama nyuso za wanadamu,
-
-
Ole wa Kwanza—NzigeUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Juu ya vichwa vyao Yohana huona kinachoonekana kuwa mataji kama ya dhahabu. Haingefaa wao kuwa na taji halisi kwa sababu wao hawaanzi kutawala wakati wangali duniani. (1 Wakorintho 4:8; Ufunuo 20:4) Lakini katika 1919 wao tayari walikuwa na mwonekano wa kifalme. Wao walikuwa ndugu za Mfalme, na mataji yao ya kimbingu walikuwa wamewekewa akiba maadamu wao wangeendelea kuwa waaminifu mpaka mwisho.—2 Timotheo 4:8; 1 Petro 5:4.
-