Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ninaweza Kukabilianaje na Kifo cha Mzazi?
    Amkeni!—2009 | Agosti
    • Njia za Kukabiliana na Hisia Zako

      Usijizuie kulia! Kulia kunasaidia kupunguza uchungu wa kufiwa. Hata hivyo, huenda ukahisi kama Alicia, aliyekuwa na umri wa miaka 19 mama yake alipokufa. Anasema hivi, “Nilihisi kwamba nikionyesha hisia nyingi, wengine watafikiri sina imani.” Lakini fikiria hili: Yesu Kristo alikuwa mwanadamu mkamilifu aliyekuwa na imani yenye nguvu katika Mungu. Hata hivyo, ‘alitokwa na machozi’ rafiki yake mpendwa Lazaro alipokufa. (Yohana 11:35) Hivyo, usiogope kulia. Hilo halimaanishi kwamba huna imani! Alicia anasema: “Mwishowe, nililia. Nililia sana. Kila siku.”c

  • Ninaweza Kukabilianaje na Kifo cha Mzazi?
    Amkeni!—2009 | Agosti
    • [Sanduku katika ukurasa wa 11]

      NI SAWA KULIA . . . WALILIA!

      Abrahamu—Mwanzo 23:2.

      Yosefu—Mwanzo 50:1.

      Daudi—2 Samweli 1:11, 12; 18:33.

      Maria, dada ya Lazaro—Yohana 11:32, 33.

      Yesu—Yohana 11:35.

      Maria Magdalene—Yohana 20:11.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki