Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Abrahamu—Mwanamume Mwenye Upendo
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Januari 1
    • Pia, tunaweza kutambua upendo wa Abrahamu kupitia jinsi alivyotenda wakati Sara, mke wake mpendwa, alipokufa. Abrahamu alimlilia mke wake. Ingawa alikuwa mwanamume hodari na mwenye nguvu, hakuogopa kuonyesha huzuni yake. Abrahamu alikuwa mwanamume mwenye nguvu lakini mpole.

  • Abrahamu—Mwanamume Mwenye Upendo
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Januari 1
    • Labda wangeshangaa kujua kwamba Abrahamu ni mmoja kati ya wanaume kadhaa waaminifu na hodari ambao Biblia inasema walilia nyakati za taabu. Wengine wanatia ndani Yosefu, Daudi, mtume Petro, wazee wa kutaniko la Efeso, na hata Yesu. (Mwanzo 50:1; 2 Samweli 18:33; Luka 22:61, 62; Yohana 11:35; Matendo 20:36-38)

  • Abrahamu—Mwanamume Mwenye Upendo
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Januari 1
    • Abrahamu​—Mwanamume Mwenye Upendo

      Abrahamu amelemewa na huzuni. Sara, mke wake mpendwa, amekufa. Mwanamume huyu mzee anafikiria mambo mengi sana anapomzika. Huzuni inapoongezeka moyoni, Abrahamu analia. (Mwanzo 23:1, 2)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki