Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Baadaye katika mwaka huo, ofisi ya tawi ya Watch Tower Society ilianzishwa pia huko Papua New Guinea. John Cutforth aliwekwa rasmi kuwa mtumishi wa ofisi ya tawi.

  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mwaka mmoja baadaye, Jim na Florence, pamoja na binti zao, Sherry na Deborah, walihamia kwenye nyumba ndogo ya mawe huko Six Mile, katika eneo la Port Moresby. Muda mfupi baada ya hapo, Jim akaanza kuzungumza na John Cutforth kuhusu mahali ambapo ofisi ya tawi ingekuwa.

      “Nimetafuta kila mahali huku Port Moresby ambapo tunaweza kuwa na ofisi ya tawi, lakini hakuna sehemu inayopatikana,” akasema John.

      “Namna gani nyumba yetu?” Jim akamwambia. “Mnaweza kutumia vyumba vitatu vya mbele, na mimi na familia yangu tutaishi nyuma.”

      Mipango ilifanywa, na Septemba 1, 1960, nyumba ya akina Dobbin ikaandikishwa kisheria kuwa ofisi ya tawi ya kwanza nchini Papua New Guinea.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki