Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutumikia Kwa Shangwe Licha ya Magonjwa
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Juni 1
    • Kazi ya Kikristo ilipoendelea na watu wengi kukubali kweli ya Biblia, akina ndugu waliona uhitaji wa kuwa na mahali pa kufanyia mikutano. Ndugu yangu mkubwa George, na mke wake, Eleni, walikubali chumba walichotumia kama ghala kitumiwe kwa ajili ya mikutano. Ghala hiyo iliyokuwa karibu na nyumba yao, ilifanyiwa marekebisho na kuwa mahali panapofaa kufanyia mikutano. Hivyo, akina ndugu wakawa na Jumba la Ufalme la kwanza kisiwani. Walifurahi kama nini! Nacho kilikuwa kichocheo kilichoje cha ongezeko zaidi!

  • Kutumikia Kwa Shangwe Licha ya Magonjwa
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Juni 1
    • [Picha katika ukurasa wa 17]

      Jumba la Ufalme la kwanza huko Xylophagou linalotumiwa mpaka leo

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki