-
Jiji la Kale la Yerusalemu Liliharibiwa Mwaka Gani?—Sehemu ya KwanzaMnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
-
-
Mwanahistoria Mgiriki Herodoto (m. 485-425 K.W.K.) alisema kwamba Koreshi aliuawa “baada ya kutawala kwa miaka 29,” kumaanisha kwamba alikufa katika mwaka wa 30 wa utawala wake, yaani, mwaka wa 530 K.W.K. (Histories, Kitabu cha Kwanza, Clio, 214)
-
-
Jiji la Kale la Yerusalemu Liliharibiwa Mwaka Gani?—Sehemu ya KwanzaMnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
-
-
Maandishi yaliyoandikwa na wataalamu wa nyota wa Babiloni kwenye bamba la udongo (BM 33066), yanathibitisha kwamba Koreshi alikufa mwaka wa 530 K.W.K. Ingawa bamba hilo lina makosa kadhaa kuhusu mpangilio wa nyota, sayari, na mwezi, lina maelezo kuhusu vipindi viwili vya kupatwa kwa mwezi ambavyo vilitukia katika mwaka wa saba wa Cambyses wa Pili, mwana wa Koreshi ambaye alitawala baada yake. Inaaminika kwamba vipindi hivyo viwili vya kupatwa kwa mwezi vilionekana huko Babiloni Julai 16, 523 K.W.K., na Januari 10, 522 K.W.K., jambo linaloonyesha kwamba majira ya kuchipuka ya mwaka wa 523 K.W.K. ndiyo yaliyokuwa mwanzo wa mwaka wa saba wa Cambyses. Hilo linamaanisha kwamba alianza kutawala mwaka wa 529 K.W.K. Kwa hiyo, mwaka wa mwisho wa Koreshi ulikuwa 530 K.W.K., hivyo, alianza kutawala Babiloni mwaka wa 539 K.W.K.
-