-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
Sanaa ya jiji hilo pia ilivutia watu ulimwenguni pote. Mnamo mwaka wa 1738, chuo cha kujifunza kucheza dansi kinachojulikana ulimwenguni pote cha Mariinsky Ballet kilianzishwa. Punde si punde majumba ya muziki, dansi, na uigizaji, yalirembesha jiji hilo. Watunzi maarufu wa muziki waliishi St. Petersburg, kama vile Pyotr Ilich Tchaikovsky. Yeye anajulikana kwa miziki inayopendwa kama vile Sleeping Beauty, Swan Lake, The Nutcracker, na muziki wake maarufu 1812 Overture.
-
-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
Wengine huona jambo lenye kuvutia zaidi jijini St. Petersburg kuwa maonyesho yake ya dansi. Kwa mfano, kuna Ukumbi wa Maonyesho wa Mariinsky ambao umerembeshwa kwa taa maridadi sana na kuta za ndani zinazometameta ambazo zimerembeshwa kwa kilogramu 400 hivi za dhahabu. Ukiwa umeketi katika ukumbi huo, unaweza kutazama baadhi ya dansi bora zaidi duniani.
-
-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 26]
Ukumbi wa Maonyesho wa Mariinsky unaojulikana ulimwenguni pote
[Hisani]
Steve Raymer/National Geographic Image Collection
Photo by Natasha Razina
-