-
Mfalme na Wakuu WakeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
2 Kinachostahili kuangaliwa katika Hati-Kunjo ya Isaya ya Bahari ya Chumvi ni kwamba mwandishi fulani ametia alama ya “X” pambizoni mwa ile sehemu ambayo leo yajulikana kuwa Isaya sura ya 32. Hatujui sababu ya mwandishi huyo kuweka alama hiyo, lakini twajua kuwa kuna jambo la pekee kuhusu sehemu hiyo ya Biblia Takatifu.
-
-
Mfalme na Wakuu WakeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
[Picha katika ukurasa wa 331]
Katika Hati-Kunjo za Bahari ya Chumvi, Isaya sura ya 32 imetiwa alama “X”
-