Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kwa Nini Sisi Huogopa Kifo?
    Amkeni!—2007 | Desemba
    • Uhai wa mwanadamu ni mfupi sana kwani zaidi ya watu 160,000 hivi hufa kila siku!

  • Kwa Nini Sisi Huogopa Kifo?
    Amkeni!—2007 | Desemba
    • [Sanduku katika ukurasa wa 3]

      ADUI ASIYEWEZA KUEPUKIKA

      Kifo kimetajwa kuwa adui ya mwanadamu. Ni adui halisi, na kuna uthibitisho wa kutosha. Kulingana na kadirio moja, watu milioni 59 hivi hufa kila mwaka, wastani wa watu 2 kila sekunde. Hebu ona tarakimu zifuatazo kuhusu kifo.

      ◼ Mtu mmoja hufa kwa sababu ya vita kila sekunde 102.

      ◼ Mtu mmoja huuawa kila sekunde 61.

      ◼ Mtu mmoja hujiua kila sekunde 39.

      ◼ Mtu mmoja hufa kutokana na aksidenti ya barabarani kila sekunde 26.

      ◼ Mtu mmoja hufa kutokana na njaa kila sekunde tatu.

      ◼ Mtoto mmoja wa chini ya umri wa miaka mitano hufa kila sekunde tatu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki