Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Agosti 15
    • “Atafuta kila chozi kutoka katika macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena. Mambo ya zamani yamepitilia mbali.”—Ufunuo 21:4.

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Agosti 15
    • Mtume Yohana anaandika maono mengine katika Ufunuo sura ya 21 ambayo yatatimizwa wakati wa Utawala wa Miaka Elfu wa Kristo Yesu. Hata hivyo, utimizo kamili wa maono hayo utakuwa mwishoni mwa ile Siku ya Hukumu ya miaka elfu. Baada ya Yesu kumrudishia Baba yake Ufalme, Yehova atakaa pamoja na watu kikamili bila kuwa na wapatanishi wowote kati yake na wanadamu. Yehova atakaa pamoja na “watu wake” milele kwa njia ya kiroho na atashughulika nao moja kwa moja. “Kifo hakitakuwapo tena” kabisa wakati ambapo wanadamu watakuwa wamefikia ukamilifu kwa kuwa manufaa ya dhabihu ya fidia ya Kristo yatakuwa yametumiwa kikamili.—Ufunuo 21:3, 4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki