-
Yehova Amenifundisha Tangu Ujana WanguMnara wa Mlinzi—2003 | Novemba 1
-
-
Katika miaka hiyo ya mapema, tulitiwa moyo sana na ziara za ukawaida za Ndugu Knorr. Alikuwa akitembelea kila mmoja wetu, na kusimulia mambo yaliyoonwa ambayo yalitusaidia kufahamu jinsi ya kutatua matatizo. Katika ziara aliyofanya mwaka wa 1955, iliamuliwa tujenge ofisi mpya ya tawi yenye sehemu ya kuchapia ili tuweze kuchapisha magazeti ya Denmark.
-
-
Yehova Amenifundisha Tangu Ujana WanguMnara wa Mlinzi—2003 | Novemba 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 23]
Nikiwa na Frederick W. Franz na Nathan H. Knorr huko Copenhagen, Denmark, mwaka wa 1961
-