Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Julai 15
    • Wale wanaohukumiwa kutostahili kufufuliwa wanatupwa katika “Gehena,” au “lile ziwa la moto,” na kulingana na Biblia maneno hayo yanamaanisha kifo cha milele. (Mathayo 5:22; Marko 9:47, 48; Ufunuo 20:14) Watu hao wanatia ndani wanadamu wawili wa kwanza, Adamu na Hawa, yule msaliti Yuda Iskariote, na watu fulani waliokufa wakati Mungu alipotekeleza hukumu juu yao, kama vile watu wa siku za Noa na wakaaji wa Sodoma na Gomora.a

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Julai 15
    • a Ona ukurasa wa 30-31 wa toleo la Mnara wa Mlinzi la Juni 1, 1988.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki