-
Ubuni Wenye Kustaajabisha wa Molekuli ya HemoglobiniAmkeni!—2010 | Septemba
-
-
[Sanduku/Picha katika ukurasa wa 28]
TUNZA HEMOGLOBINI YAKO!
“Damu haina madini ya chuma,” ni maneno ambayo husemwa katika maeneo fulani ingawa kwa kweli ni damu ambayo imekosa hemoglobini. Bila atomu nne muhimu za chuma katika molekuli ya hemoglobini, atomu zile nyingine 10,000 katika molekuli hiyo hazina faida. Kwa hiyo, ni muhimu sana kupata madini ya chuma cha kutosha kwa kula mlo wenye lishe. Baadhi ya vyakula vyenye madini ya chuma vimeonyeshwa katika chati iliyoonyeshwa.
-
-
Ubuni Wenye Kustaajabisha wa Molekuli ya HemoglobiniAmkeni!—2010 | Septemba
-
-
[Chati]
CHAKULA KIASI CHUMA(mg)
Molasi Kijiko 1 kikubwa 5.0
Kiazi Kimoja kikubwa 3.2
Dengu 1/2 kikombe 3.3
Nyama ya ng’ombe Gramu 90 3.2
Mbegu za ufuta (simsim) Vijiko 2 vikubwa 1.0
Maharagwe mekundu 1/2 kikombe 2.6
Mtama Kikombe 1 1.1
Njegere 1 kikombe 2.5
Sukuma wiki 1 kikombe 2.1
Batamzinga Gramu 90 2.0
Spinachi Kikombe 1 zikiwa mbichi 0.8
-