-
Kukabiliana na Misiba ya AsiliMnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 1
-
-
Je, una mfuko wa dharura ulio na vitu vya kutumia wakati wa msiba? Kitabu kimoja (1-2-3 of Disaster Education) kinapendekeza kwamba mfuko huo uwe na vitu vifuatavyo: Vifaa vya huduma ya kwanza, chupa zilizo na maji, vyakula visivyoharibika upesi, na hati muhimu.
-