Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kondoo wa Yehova Wahitaji Utunzaji Mwororo
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 15
    • e Ikiwa uamuzi ni wa kutenga na ushirika na rufani imekatwa, tangazo lapasa liahirishwe. Ona kurasa 147-148 za kitabu Tumefanywa Tengenezo Tutimize Huduma Yetu.

  • Kondoo wa Yehova Wahitaji Utunzaji Mwororo
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 15
    • 17. Ni hatua zipi zinazochukuliwa ikiwa mkosaji aliyebatizwa hatubu na kuacha mwendo wake wenye dhambi?

      17 Bila shaka, kubatizwa juzijuzi si udhuru wa kuzoea dhambi bila kutubu. (Waebrania 10:26, 27; Yuda 4) Ikiwa mkosaji yeyote aliyebatizwa hatubu na kuacha mwendo wake wenye dhambi, yeye angeondoshwa kutanikoni. (1 Wakorintho 5:6, 11-13; 2 Wathesalonike 2:11, 12; 2 Yohana 9-11) Hatua hii ionekanapo kuwa ya lazima, baraza la wazee litachagua halmashauri ya kihukumu. Ikiwa kuondosha kunatukia, tangazo hili fupi laweza kufanywa: “ . . . ametengwa na ushirika.”e

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki