Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutahini na Kupepeta Kuanzia Ndani
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Baada ya hapo, P. S. L. Johnson alitokea kwenye mikutano ya Wanafunzi wa Biblia akifanya ionekane kwamba alikubaliana na itikadi na utendaji wao. Lakini baada ya kuungwa mkono na wengine, angepanda mbegu za shaka. Ikiwa yeyote angedokeza kujitenga na Sosaiti, alikataza hilo kinafiki—hadi uaminifu-mshikamanifu wa kikundi ulipofifia kabisa. Alijitahidi kuwavuta akina ndugu kwa kutumia barua na hata kwa safari za kibinafsi, si katika Marekani tu, bali pia katika Kanada, Jamaika, Ulaya, na Australia.

  • Kutahini na Kupepeta Kuanzia Ndani
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Katika Kanada, kulikuwa na W. F. Salter, meneja wa tawi la Sosaiti ambaye alianza kupinga fasihi za Sosaiti, alijulisha kwamba alitazamia kuwa msimamizi atakayefuata wa Watch Tower Society, na, baada ya kufukuzwa, akatumia barua za Sosaiti isivyo haki kuagiza makutaniko katika Kanada na nchi za kigeni yajifunze habari ambayo yeye mwenyewe alikuwa ameandika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki