-
Kwa Nini Wanasayansi Fulani Humwamini Mungu?Amkeni!—2004 | Juni 22
-
-
Miongo mitatu iliyopita, Dakt. Frank Salisbury wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Utah, Marekani, alipiga hesabu kuona uwezekano wa molekuli ya DNA kutokea yenyewe tu. Hesabu zake zilionyesha kwamba uwezekano huo ni mdogo sana hivi kwamba haiwezekani kisayansi.b
-
-
Kwa Nini Wanasayansi Fulani Humwamini Mungu?Amkeni!—2004 | Juni 22
-
-
b Alikadiria kwamba ingechukua miaka bilioni nne kwa molekuli moja ya DNA kutokea yenyewe kiasili katika mojawapo ya sayari 100,000,000,000,000,000,000 (1020) zenye “mazingira yanayoweza kutegemeza uhai.” Kuna uwezekano gani kwamba molekuli moja ya DNA ilitokea yenyewe? Alikadiria kwamba uwezekano huo ni sehemu moja kati ya 10415 (moja ikifuatwa na sufuri 415)!
-